Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
#KweliimekuaniVita
#UnamjazaSumuQwangu
#NimeshaachaSasaHiviNimetulia#UkiachafujoUtaliona
Jizazi#funguamachouone
#mizigoyakwenyegarisiodhamanayetu
#abiriachungamzigowako
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kesho nayo ni siku wapendwa tukijaliwa ishaalah kwa uwezo wa Allah.
Goodnight Fam[emoji3448]
Mnalala mapema ili kesho muwahi misa au mnakwenda kwenye majukumu mengine? Anyway lala salama THGoodnight Fam[emoji3448]
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]yegooo yo here.
Mambo
😂😂😂😂😂😂. Daah!Ukiona hivyo ujue hao sio masoul-mate.Swali linakuja ni wa nani?
#kamaVipiTugawaneCarba
#chukuaUbavuWaKuliaNichukueKushoto
Hapana mkuu mimi sijawahi kufika kabisa ila nasikiaga tu hapa wadau wakipazungumzia, vipi wewe ni mwenyeji huko?Are you among.... Mkuu Davet?
Jizazi
#Hiivitakwelisijionikamanapina
Okay, ndyo Mimi ni mtu wa hukooHapana mkuu mimi sijawahi kufika kabisa ila nasikiaga tu hapa wadau wakipazungumzia, vipi wewe ni mwenyeji huko?
Yes, Yego is tripping in the hood. Sup girl! [emoji16][emoji16]