Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko fit karikiti ๐Ÿ˜„
Sema hali ya hewa inahuzunisha, ni saa sita sahii lakini hakuna dalili ya jua kuwaka.

#tusionamashambatunakoma
#kilimochanyanyanavitunguu
#tunashindwakulima
Hahah! Fit karikiti

Hiyo hali ya hewa ndio nzuri mambo yanaenda tu bila shida, nipo kwa Mkorea huku nimeenda ground asubuhi jua kali kweli ...

#NdioutafuteShambasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ