Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 1231743
Daemusin hivi Jana si walikusikia?
Leo nakazia
manesi wengine wanavyopenda sifa za kijinga,
wakimuona mgonjwa matako yake ni masafi basi wanamuandikia sindano nyingi kwa makusudi.
tena wanamuandikia kwenye cheti chake.

tafadhali ndugu mgonjwa sindano zote nilizokuandikia uje uchomwe na mimi haijalishi ni usiku wa manane.
 
Back
Top Bottom