Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ndio umeamua kulitelekeza sembe kwa kujificha zanzibar?
umeshanunua urojo?
umeshanunua ubuyu wa babu issa?
umeshanunua ubuyu wa bibi asha maringo?
umeshanunua chipsi za muhogo kwa bibi fatuma kibuno?
Hahah! Sijafanikiwa kufanya hayo yote mana naumwa mafua hivyo radha ya chakula sisikii ila nilitamani kufika lile chimbo lenu maarufu kwa hayo mambo .....

Nimesikia kuna maeneo yanaitwa Chukwani, Bububu, Kijito upele........
 
vipi unaulizia mitaa kwani wewe ni muandishi wa sensa ya makaazi?

mwera
machui
makunduchi
nto mbeleo :wapemba wa vijijini ndio wanavyotamka
dunga
makufuli
mji mkongwe
malindi
mombasa
kiembe samaki
mtie dole skuli ndani
kwa bikhole
kilima nyege
 
FB_IMG_1570952343270.jpeg
 
zamani mababu zetu walikuwa wanakaa siku 40 bila ya kukoga wala mabibi hawakulalamika, leo hii visichana vya siku hizi vinajifanya wasafi utadhani wakikoga hawatoki uchafu mwilini na kichwani baadhi yao wamejaa nywele za kipilipili kama sisimizi bichwa

usafi wa mwanamme ni pesa na nguvu za kiume bibieeeeeeeee
 
nitakupokea kwa njia ya keyboard kama tunavyozungumza humu ndani.
karibu pilau la samaki mchana huu.
nasikia sembe mumelibadilisha jina eti munaliita asali ya warembo
😂😂😂😂 yaani unipokee kwa keyboard ukimaanisha hautanifata nilipo unipelekee kula biriani?
Pilau sipendelei, ungekuwa ugali samaki ningekaribia 😛
Tuache na sembe letu
 
zamani mababu zetu walikuwa wanakaa siku 40 bila ya kukoga wala mabibi hawakulalamika, leo hii visichana vya siku hizi vinajifanya wasafi utadhani wakikoga hawatoki uchafu mwilini na kichwani baadhi yao wamejaa nywele za kipilipili kama sisimizi bichwa

usafi wa mwanamme ni pesa na nguvu za kiume bibieeeeeeeee
Sorry kwa hiyo mkuu una siku ngapi hujaoga na Mvua hizi bila kusahau kusafisha kinywa, kuishi na Mwanaume mchafu yataka moyo vile vile Mwanamke mchafu pia.
 
Back
Top Bottom