capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Sasa mpendwa wangu Mhenga mwezangu raba unavalia na nini mpendwa, Dera??😀😀😀😀Navaa mhenga mwenzangu.
Sasa mpendwa wangu Mhenga mwezangu raba unavalia na nini mpendwa, Dera??😀😀😀😀Navaa mhenga mwenzangu.
😂😂😂😂😂Sasa mpendwa wangu Mhenga mwezangu raba unavalia na nini mpendwa, Dera??
Wow Davet..Is that your handywork?At Tips Lounge. Daah! View attachment 1231942
[emoji23][emoji23][emoji23] bro bhanaSasa mpendwa wangu Mhenga mwezangu raba unavalia na nini mpendwa, Dera??
Hahahaha haki una maswali ya ajabu, yes raba navaa kwenye dera😀😀😀Sasa mpendwa wangu Mhenga mwezangu raba unavalia na nini mpendwa, Dera??
Kuchaaaa... Davet buana!!!
Hali ni mbaya bro.. Fresh lakini?Hahah! Mambo si mambo mzee mwenzangu
Heeeee!!Raia wa Iran Akamatwa kwa "Kukufuru"
Alifanya upasuaji afanane na Anjelina Jolie View attachment 1231932View attachment 1231941
Yes Frag tukiwa free ndio mambo tunafanya hayoWow Davet..Is that your handywork?
Vipi hapo kwenu? Mimi nipo sawa broHali ni mbaya bro.. Fresh lakini?
AiseeRaia wa Iran Akamatwa kwa "Kukufuru"
Alifanya upasuaji afanane na Anjelina Jolie View attachment 1231932View attachment 1231941
Tupo sawa pia bro, tunamshukuru Mungu.Vipi hapo kwenu? Mimi nipo sawa bro
Safiii.. Ngoja nije kukusaidia ku design na kuchora.. Si utanilipa lakini?Yes Frag tukiwa free ndio mambo tunafanya hayo
Hahahaha una ukorofi
Ujana ni nusu ya wendawazimu FragKuchaaaa... Davet buana!!!
Mungu azidi kubariki kazi yako MpendwaYes Frag tukiwa free ndio mambo tunafanya hayo