Hahahaha, kwema pande hizo bro.Aisee bro
#unazidikuchocheakuni [emoji2][emoji2][emoji2]
#utasubirisana
😁😁😁 Sawa Boss ntakutafuta!!Njoo tu tutaongea naimani hatutoshindwana Frag 😀
Hahah! Mzee mwenzangu bhana, sema juzi tu nimefanya mawasiliano nahisi next month tunaweza kufanya jamboSijasikia habar zozote bro,pako kimya,, chimbo lako umelikumbuka bro?
Hahahaahaha safi kabisahahahahahahaha,
Pole dada, nilitaka nisaidie ila nilivyokumbuka ile definition ya demu nimeghairi😀😀😀😀😂😂😂😂
#ThePbtn
🤣🤣🤣🤣 Kwani unasuguaga benchi wewe? hukumwambiaga Hil ni fyekero? Original inakula vichwa?Hahahahahahahaha,
Nitafutie ya kuweka basi ya kuweka ili nisiweke katuni.
Hawachi alishaniambiaga hawa katuni wangu ndio wanasababisha nasugua benchi miaka nenda miaka rudi😀😀😀
Nipo salama pia,taratibu mambo yanaenda..Salama Ning..U hali gani?
Weekend poa kabisa...
🙏🙏🙏Nipo salama pia,taratibu mambo yanaenda..
Ok poa Fraggy, uwe na weekend njema hapo.
Sijawahi kumwambia.🤣🤣🤣🤣 Kwani unasuguaga benchi wewe? hukumwambiaga Hil ni fyekero? Original inakula vichwa?
Huyo jamaa ananikunjia kisa mambo fulani hivi ndio mana sikumwambia ila kwakua umesema nimeona unipe lift😂😂😂😂 Mbona hukumwambia sasa!!
Bro, salama?Sawa mpendwa wangu mhenga mwezangu.
Afu kumbe wewe ni Chibonge Mhenga mwenzangu Eeh?
No wonder SYB anapata tabu sana na wewe.
Huku kwema bro, sijui huko? Hali ya hewa vpHahahaha, kwema pande hizo bro.
#niachieNotesNaPastPapersBasi
Tatizo la kuitwa boss ndio hilo, anaekuita anategemea kikubwa kutoka kwako. Dawa yako ni kukupa share tu ili uone uhalisia😁😁😁 Sawa Boss ntakutafuta!!
Nahitaji xtra mucho dinera...
Haha sawa sawa bro, karbu sana mzeeHahah! Mzee mwenzangu bhana, sema juzi tu nimefanya mawasiliano nahisi next month tunaweza kufanya jambo
😂😂😂Bro, salama?
Naona hujaona ila hbr ni kwamba ngome yako imetikiswa jana😀😀😀
Hahah! Eti karibu daah!Haha sawa sawa bro, karbu sana mzee
😀😀Sijambo shikamoo dada,
#kwaniWateseka?
Hii kauli haiwezi kutoka kwa mtu ambaye sio boss.Tatizo la kuitwa boss ndio hilo, anaekuita anategemea kikubwa kutoka kwako. Dawa yako ni kukupa share tu ili uone uhalisia