capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Acha masihara!? Sina habari Bradha ..Bro, salama?
Naona hujaona ila hbr ni kwamba ngome yako imetikiswa janaπππ
Hahah ndio broHahah! Eti karibu daah!
Hahah! Boss on my own WorldHii kauli haiwezi kutoka kwa mtu ambaye sio boss.
#UziMzitoHuuππππ
Sikaribii bro itakua neutral groundHahah ndio bro
Huu mwaka hautaisha bro.ππ
Senior Bachelor Wa Uzi
#UnakwamaWapi
Shares???? Wallahi....Tatizo la kuitwa boss ndio hilo, anaekuita anategemea kikubwa kutoka kwako. Dawa yako ni kukupa share tu ili uone uhalisia
That is the spirit!!Huu mwaka hautaisha bro.
#thisIsMyYear
πππππ Aisee!Shares???? Wallahi....
Ntavifanyia modelling mwenyewe...
Vizuri!Huu mwaka hautaisha bro.
#thisIsMyYear
hahahahahahahaha,Vizuri!
Ila naona kila mdada hapa ni Sister ako
Unammendea nani sasa Bradha??
Arusha wanapenda sana Converse design hii,