Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

“Ndugu zangu wenye Klabu, Bar na sehemu zote za Starehe naomba wahamasisheni watu wenu kwenye maeneo yenu kuhakikisha wamejiandikisha na kesho miongoni kwa maeneo nitakayoyatembelea ni pamoja na Bar, ni matumaini yangu nikifika Bar nitakukuta ukiwa tayari umejiandikisha”-MAKONDA
 
Katika mechi hiyo, Andorra ilicheza mara 56 kwenye mechi za kufuzu na kupoteza zote. Lakini, sasa walipata ushindi wao wa kwanza kwa kuwafunga Moldova 1-0 kwenye Kundi H. Kwingineko, kiungo N’Golo Kante alizua hofu baada ya kupata majeruhi ya misuli wakati akipasha misuli moto kwenye mchezo wa Ufaransa dhidi ya Iceland, ambapo Les Bleus walishinda 1-0 shukrani kwa bao la mkwaju wa penalti la Olivier Giroud. Ufaransa sasa wamefikisha pointi 18 sawa na Uturuki kwenye Kundi H.
 
Katika mchezo huo, Hispania ilianza na kikosi cha wachezaji wanaotoka kwenye klabu tofauti kitu ambacho hakijazoeleka kwenye timu hiyo ya taifa ambayo imekuwa ikiundwa na idadi kubwa ya wachezaji kutoka FC Barcelona na Real Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…