Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Huo ni wivu.com
 
Habar mrekebishaji... Kuna kitu nilitaa tushee (share) kuna binti mmoja alipost fb tar 4 June kuwa iko siku sijui atakufa sijui nini (nakutumia iyo post...) afu leo 4th July uyo binti amefariki... Nimeamini kumbe kweli mtu huwa anaona kifo chake... Au ni alijichuria kama wengi wasemavyo...... . . Huyo ndo binti marehem... Alimaliza shule ya msingi Mikocheni. Alimaliza na mdogo wangu. Imeniuma sana. . . Poleni wafiwa!
 
RIP mrembo! Midomo ina umba
 
Hahaa nona wema kapovuka haswaaa...ila on the other point kujiachia utupu na kupiga picha kipindi cha ujauzito ni aibu kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…