carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Biashara matangazoVera sidika achafua Hali ya hewa mtandaoni.... .full kujiachia..View attachment 536559
Biashara matangazoVera sidika achafua Hali ya hewa mtandaoni.... .full kujiachia..View attachment 536559
Namjua huyoAnapalilia zizi[emoji23] [emoji23]
Watu wa kibiti wana reap what they saw walahimungu wa kibiti yupo likizo
Habar mrekebishaji... Kuna kitu nilitaa tushee (share) kuna binti mmoja alipost fb tar 4 June kuwa iko siku sijui atakufa sijui nini (nakutumia iyo post...) afu leo 4th July uyo binti amefariki... Nimeamini kumbe kweli mtu huwa anaona kifo chake... Au ni alijichuria kama wengi wasemavyo...... . . Huyo ndo binti marehem... Alimaliza shule ya msingi Mikocheni. Alimaliza na mdogo wangu. Imeniuma sana. . . Poleni wafiwa!View attachment 536562
Huelewi nn nikuelewesheHata sielewi
Duh labda alikuwa anajisikia vibaya
RIP binti mzazi
Ila mtoa ujumbe ana mtaget zari tu. Maana yeye angejaliwa insta pangechafukaHahaa nona wema kapovuka haswaaa...ila on the other point kujiachia utupu na kupiga picha kipindi cha ujauzito ni aibu kwakweli