carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mvua ukiwa na pipii usiku huwa mfupi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kusinyaa kwa uso na macho
Unywaji mkubwa wa pombe husababisha kusinyaa kwa uso na macho hasa kwa wale wanaokunywa usiku. Mara ngingi uwatazamapo wanywaji wakubwa wa pombe utaona hata sura zao zimebadilika na kuonekana zimezeeka au kuchoka kuliko awali.
Huyu mzee huyu bhananapenda kuongozana na mke wangu kwenye ziara ili aone ugumu wa kazi maana usiku nikishindwa 'kula kile chakula' vizuri asidhani nilikuwa kwa wengine, ajue nimechoka.
kama hamna nauli ya sh 200 ya kivuko mpige mbizi
Watoto mkiambiwa nyie wazuri mjibuni anayewaambia Mzuri Mama yako
Kuna kauli ukiongea unatakiwa ujitafakari kwanzaMke wangu ni Mzee lakini tungezaa Mapacha
mke wangu njoo Utoe Mchango ukikataa nachukua Mwanamke mwingine Sasa hivi
Unakimbilia Nyanda za juu Kusini sio?🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mambo yanaendaje hapa?