Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeona maandishi kumuhusu huyo jamaa leo, kweli wakati nasoma Lissu alikua ananijia kichwaniTundu Lissu wa enzi zetu wahenga [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana bro nimeshageuka asubuhi ya leo, nipo mjini sasa....Bado uko kwa Mzenji wetu mkorofi unagonga supu ya pweza?
Nipo. Mambo yamechanganya kidogo. Nimeona raba zako very unique. Hongera sana bro [emoji122][emoji122][emoji122]Hapana bro nimeshageuka asubuhi ya leo, nipo mjini sasa....
Vipi za kupotea kidogo?
[emoji443][emoji443]Mamou[emoji443][emoji443][emoji444]
Jambo la kheri hilo muda ukipatikana kama hivi tunakutana tu masikani yetu hapa...Nipo. Mambo yamechanganya kidogo. Nimeona raba zako very unique. Hongera sana bro [emoji122][emoji122][emoji122]
Utume na ya kutolea bebi [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1233146