Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Usijali mpendwa, Unapenda kuangalia Movie kutoka Nchi gani?Dah!
Waigizaji wa movie wa India mi ntawajulia wapi sasa? Utani huu kuna wakati utakuja kuniponza indeed wallahi. Nisamehe mpendwa Hawachi [emoji1545]
#Shombeshombe
Poa kabisa. Pumzi ingalipo bado. Ni mapambano mpaka dakika za mwisho. Huko kwako vipi?
😂😂😂Yule hawezi kuelewa kitu hapa, ataona maluwe luwe tu hapa. Wakati nyie mnasoma Bible yeye alikuwa bize kuwaangalia Tom and Jerry halafu mnataka afanane na nyie?!!! Sasa hivi mwenzako anacheza PS hizi habari za fimbo ni kumchanganyia mafaili.Lizarazu naomba umtag junior wako hapa
Siangalii muvi sana ila napenda action movies hizi za Hollywood pamoja na comedies. Na mambo ya kipelelezi pelelezi. Documentaries. Bollywood aisee simjui hata mwigizaji mmoja .Usijali mpendwa, Unapenda kuangalia Movie kutoka Nchi gani?
Ushirikina utahusishwa...Chatu huyu amemmeza binti mwanafunzi akiwa darasani huko Nigeria.
RIP bintiView attachment 1234230
18:026:00
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule hawezi kuelewa kitu hapa, ataona maluwe luwe tu hapa. Wakati nyie mnasoma Bible yeye alikuwa bize kuwaangalia Tom and Jerry halafu mnataka afanane na nyie?!!! Sasa hivi mwenzako anacheza PS hizi habari za fimbo ni kumchanganyia mafaili.