Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Jinsi kijana
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisaNa wengi huolewa tu kwa ajili ya show off na kuondoa nuksi kuwa naye eti kaolewa hata kama mapenzi hakuna. Halafu baada ya muda mnasikia ndoa chali na watu wanalalamika eti ndoa za siku hizi magumashi...
View attachment 1234142
Maria Sarungi [emoji41][emoji7]
BAK kapotelea wapi ukuje Mpendwa wetu hata jukwaa la siasa haonekani.
Yeah! Shangazi Fatma na Hawachi pia namuona hapo.Maria Sarungi [emoji41][emoji7]
Ban nadhani,BAK kapotelea wapi ukuje Mpendwa wetu hata jukwaa la siasa haonekani.