Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20191015-WA0007.jpg
 
Dawa ya kunguni ni maji baridi ukiloweka kitanda au nguo kwa masaa 24 hata mayai two hufa.
Aidha wanasayansi hao wanashauri kutafutwa mbinu tofauti na mpya ya kukabiliana na kunguni pasi na kutumia sumu, kama vile kutafuta wadudu wengine wanaoweza kuwala ilikuzuia wadudu hao kuenea kote duniani.Taarifa hiyo ilichapishwa katika jarida la utabibu la The Journal of Medical of Entomology.
 
Back
Top Bottom