Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dawa ya kimaabara pekee iliyotosheleza kumuua kunguni na kizazi chake ni DDT tu, zilizobaki zote zimefeli.
Kwa sasa baada ya kupigwa marufuku DDT dawa pekee ni maji ya moto.
Wadudu hao ambao huishi kwa kufyonza damu ya wenyeji wake wakiwa usingizini wanauwezo mkubwa wa kibayolojia ya kujikinga dhidi ya sumu kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…