carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Eeh!!Nilifichwa kidogo [emoji12]
Nilifichwa kidogo [emoji12]
Hiyo mvua ihamie huku kwetuMvua na baridi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mliosoma shule za Private mlipitia mambo haya?View attachment 1234379
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpendwa, uongo haupendelei jinsia bana.Hahahaha umekubali mpendwa kwamba jinsia yenu namba 1 kwa uwongo.
Mwaka huu ni wako Bro,Pole sana, kwa hali hewa hii itakua umepata taabu sana.
[emoji8][emoji8][emoji9][emoji9]
Aisee, ni kweli halafu.Mwaka huu ni wako Bro,
Tuna miezi miwili tu!
Nakumbushia tu.
Nisamehe kaka yangu kwenye group hili la uwongo wewe haupo yupo CapitalpoolMpendwa, uongo haupendelei jinsia bana.
Safi sana, vipi za toka jana ulivyolala mapema?[emoji8][emoji8]
Niaje dave
[emoji4][emoji4]Damn, that got me deep in my feels . Though the message cant be mineπ
But I feel U Babe'.
I Love the song.
Pambana Bro, Ukipata tabu yoyote njoo PM.Aisee, ni kweli halafu.
Juzi tuu hapa nikikua naweka 2019 resolutions.
Wacha nipambane.
πππEeh!!
Za kufichana[emoji124][emoji124][emoji124]
Hiyo # ππππPambana Bro, Ukipata tabu yoyote njoo PM.
Mwaka huu ni wako!!
#SiniaBachelaWaUzi
Ngeli ya Genge
Najitahidi kukaza πΆπΆPole sana, kwa hali hewa hii itakua umepata taabu sana.