Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imekaaje hapo mkuu
Picha inamaelezo mengi, mimi nimeitizama kwa mtindo huu,.
Kiongozi ni kama kavamia foleni na baadhi ya watu wameondolewa mbele yake!
Raia wanaonekana kutofurahishwa unaweza kuona kupitia sura zao
Huyo dogo kule pembeni anaweza kuwa definition ya muda kwa kilichukua kikiendelea hapo.
 
90% πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…