myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mimi sijambo bae.. Nafurahi nmekuonaNiko poa, vipi wewe?
SalamaSijambo, habari yako Khantwe?
Ule upepo wa juzi pale sakina, ulinipeperusha hadi ngaramton[emoji2]
Ndio kaka.. Unaishi Arusha pia?Kaka unaishi Arusha
Ndio kaka.. Unaishi Arusha pia?
Pande zipi broNdio
Nao wi a tokingi indeed wallahi....
Kazi ipooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nao wi a tokingi indeed wallahi....
Kazi ipooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Uchungaji wa mang'ombe ulituchelewesha sana. Halafu hali ya hewa kavu ile wazungu hawakuipenda wakaishia kujenga mashule na mahospitali kwenye hali ya hewa rafiki huko Kaskazini na Mwakaleli. Wenzetu wakawahi kupiga kitabu siye tupo tu na mang'ombe yetu. Hali sasa inabadilika ....Hongereni, naona sasa mambo yenu ni swafi huko