D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
tumia CMD command.Jamani wapendwa emu nielekezeni jinsi ya kuqoute comment zaidi ya moja.
#Naomba
tumia CMD command.Jamani wapendwa emu nielekezeni jinsi ya kuqoute comment zaidi ya moja.
#Naomba
sijaona cha ajabu hapo pichani, hao wengine walikwenda kukojoa, kikawaida ukiondoka na nafasi yako haipo labda uwe mtemi kama daemusin bin makinikiyya
Mi nimemuona Lukuvi (Waziri wa ardhi) tu anapiga show off ya kujiandikisha. Nini zaidi kinaendelea?sijaona cha ajabu hapo pichani, hao wengine walikwenda kukojoa, kikawaida ukiondoka na nafasi yako haipo labda uwe mtemi kama daemusin bin makinikiyya
View attachment 1235081
sihao wapinzani uchwara baada ya kumuona mjomba wako anatishia mustakabali wa vyama vyao wameamua kujificha kwenye mwamvuli wa kususia uchaguzi wa serikali za mitaa.Mi nimemuona Lukuvi (Waziri wa ardhi) tu anapiga show off ya kujiandikisha. Nini zaidi kinaendelea?
sihao wapinzani uchwara baada ya kumuona mjomba wako anatishia mustakabali wa vyama vyao wameamua kujificha kwenye mwamvuli wa kususia uchaguzi wa serikali za mitaa.
kwa mujibu wa picha wanasema hao watu wamechukuliwa kwa lazima