Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli, lakini hata Serikali huru imeshindwa/imekataa kupeleka huduma za elimu za kutosha maeneo hayo kwa uoga
Uchungaji wa mang'ombe ulituchelewesha sana. Halafu hali ya hewa kavu ile wazungu hawakuipenda wakaishia kujenga mashule na mahospitali kwenye hali ya hewa rafiki huko Kaskazini na Mwakaleli. Wenzetu wakawahi kupiga kitabu siye tupo tu na mang'ombe yetu. Hali sasa inabadilika ....
 
Aisee. Kwa nini wawachukue kwa lazima wakati wanaweza kuwalipa kama walivyokuwa wanawalipa na kuwajaza kwenye malori nyakati zile za safari ya matumaini ya yule morani mwenye bahati mbaya?
ulimwengu wa kupewa cha juu umekiwisha.
nawaonea huruma sana hao wanaogoma kujiandikisha kupiga kura za uchaguzi wa mitaa japokuwa wana hoja za msingi, kama muheshimiwa raisi kwa zaidi ya mara moja amewahi kutamka hawezi kuwasaidia watu waliochagua upinzani nina wasiwasi vijiji vitakavyosusa kupiga kura vitakutana na adhabu kama hiyo.

umesusa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na mimi nagoma kuwaletea huduma
 
FB_IMG_1571180127650.jpeg
 
Wananchi wa Manyoni wa kitongoji cha Majengo wamepatwa na taharuki baada ya kuona mwili wa kitoto kichanga kikiwa kimetupwa kwenye kizimba cha kukusanyia uchafu,huku wakazi wa kitongoji hicho wakilaani ukatili unaofanywa na baadhi ya wanawake wasio kuwa na huruma.

______________

Mwili wa mtoto huyo ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa siku mbili na mzazi wa mtoto huyo bado hajafahamika.

=====================================
ndio udhaifu wa kukosekana mifumo ya kisasa ya kiteknolojia, laiti kama zingelikuwepo system za kisasa huyo mtoto angelijulikana baba yake na mama yake alipo.

systems zinafahamu siku uliojifungua kwa sababu rekodi zitakuwepo hospitali
system zinafahamu siku uliosafiri kutoka mtaa mmoja kwenda mwengine kwa sababu ya tiketi utakayokata kwa mfumo wa kielektroniki
system zitafahamu vinasaba vyako n.k

mzungu hali dagaaa bwanaaa
 
Huku kwetu watu wanavyopenda kunenepeana, sipati picha hiyo misosi ingefika huku
Huko Uingereza wametaka watu wasiruhusiwe kula kwenye Vyombo vya usafiri wa umma na kodi iongezwe kwenye vyakula visivyo na afya ikiwa kama njia ya kupambana na unene uliopitiliza kwa watoto.

Hii ni baada ya idadi ya watoto wenye unene kupita kiasi kuongezeka mara mbili ndani ya miaka 30. “Watu wazima nao wafate taratibu hizo ili wawe mfano bora kwa watoto” Afisa mkuu wa matabibu nchini Uingereza anafafanua
 
Back
Top Bottom