Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wazungu wanapenda vyakula vya viwandani,
waswahili bado utamaduni huu hatujauweza sana labda ni kwa sababu ya umasikini wetu.

unajua kuna watu ni matajiri lakini kuna baadhi ya huduma zilizotengenezwa viwandani hawanunui?

Nazi au tui la viwandani
samaki aliyehifadhiwa muda mrefu
chapati za viwandani
Cha ajabu sasa huko Marekani na Ulaya masikini ndiyo wanaongoza kwa unene. Ni nadra sana kumkuta mtu wa tabaka la juu kanenepeana. Huku kwetu madhani ni kinyume chake...
 
FB_IMG_1571180070357.jpeg
 
Katika mazingira kama yetu yaliyosheheni vyakula ni uboya kwenda kufakamia vyakula feki vya viwandani.
Hata wazungu ni kutokana mabadiliko ya hali ya hewa baadhi ya nyakati hukosa vyakula vya asili.
Wanalazimika kula vyakula vya kusindika kiasi wamevizoea
wazungu wanapenda vyakula vya viwandani,
waswahili bado utamaduni huu hatujauweza sana labda ni kwa sababu ya umasikini wetu.

unajua kuna watu ni matajiri lakini kuna baadhi ya huduma zilizotengenezwa viwandani hawanunui?

Nazi au tui la viwandani
samaki aliyehifadhiwa muda mrefu
chapati za viwandani
 
HIVI NDIO VYAKULA KUMI BORA NA FAIDA ZAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU...!!
TUNAAMBIWA kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi.
 
Katika makala yafuatayo, nitakuorodhoshea baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa bora (super foods) ambavyo faida zake mwilini vimeanishwa. Kwa mlaji, linakuwa jambo la busara kujua faida ya kila chakula unachoingiza tumboni
 
Back
Top Bottom