myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni yetu iwe ya amani na baraka
Vyakula vya viwandani pia vinatofautiana. Nyama. Matunda. Mboga. Nafaka. Vyote vinaweza kusindikwa ndiyo lakini ubora wake unatofautiana kutokana na jinsi vilivyolimwa na kukuzwa. Matajiri wananunua kila kitu organic. Wanyama waliokuzwa bila masindano ya hormones na antibiotics. Mimea iliyokuzwa bila madawa hatarishi. Hakuna GMO (Genetically modified crops). Hata wakinunua matunda na mboga mboga wananunua organic pia. Na kwa vile wana access na vyakula hivi kila wakati, hawa inasemekana pia huwa hawali sana kupitiliza. Wanaweza kumudu gharama za gym na wana huduma bora kabisa za bima za afya. Yote haya ni kinyume na wenzao masikini.kwa uzoefu wako wewe ipi sababu kubwa haliyakuwa takribani wote wanakula vyakula vya viwandani?
Mahakama zetu.............................Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa maana hiyo wakurugenzi wanaruhusiwa kusimamia uchaguzi
#MwananchiUpdates
##Yajayoyanasikitisha[emoji124][emoji124][emoji124]
#UsiyaruhusuYakusikitisheMahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa maana hiyo wakurugenzi wanaruhusiwa kusimamia uchaguzi
#MwananchiUpdates
##Yajayoyanasikitisha[emoji124][emoji124][emoji124]
Zimeingiliwa?Mahakama zetu.............................
"Watu wa Masasi nimemtambulisha Mke wa Mzee Kikwete(Mama Salma), ngoja na mimi niwatambulishe Mke wangu sasa, haya mambo haya mnaweza kuniona mkali hapa kumbe nyumbani napigaga deki" -JPM
[emoji124][emoji124][emoji124]
Sawa, sasa nani anawajibika/wajibishwa kwa mujibu wa sheria??ulimwengu wa kupewa cha juu umekiwisha.
nawaonea huruma sana hao wanaogoma kujiandikisha kupiga kura za uchaguzi wa mitaa japokuwa wana hoja za msingi, kama muheshimiwa raisi kwa zaidi ya mara moja amewahi kutamka hawezi kuwasaidia watu waliochagua upinzani nina wasiwasi vijiji vitakavyosusa kupiga kura vitakutana na adhabu kama hiyo.
umesusa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na mimi nagoma kuwaletea huduma