D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wazungu wanapenda vyakula vya viwandani,Huku kwetu watu wanavyopenda kunenepeana, sipati picha hiyo misosi ingefika huku
waswahili bado utamaduni huu hatujauweza sana labda ni kwa sababu ya umasikini wetu.
unajua kuna watu ni matajiri lakini kuna baadhi ya huduma zilizotengenezwa viwandani hawanunui?
Nazi au tui la viwandani
samaki aliyehifadhiwa muda mrefu
chapati za viwandani