Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa nini imekuwa hivi? Wakorea hawapendi soka au kuna tatizo mahali?
kiduku hapendi ujinga

The South Korean team had arrived in Pyongyang on Monday accompanied only by their coaches and support staff.

The delegation had to leave their mobile phones at the South Korean embassy in Beijing ahead of their departure,
and reaching the team in Pyongyang has been a struggle.
 
Ina maana mpendwa hujui kwamba Ningendako ndiye ubavu wa mrembo inakuwaje una muita chumbani yaani Wasukuma mtaacha lini kupenda chini [emoji2][emoji2]
Mpendwa Hawachi na wewe muda si mrefu tutakupachika jina la ukorofi. You are coming out of your shell...

Wasukuma hatupendi chini bana. Siye tuachieni ushamba wetu. Haya mengine mnatusingizia tu.

Nilimtania tu shemeji yangu...ila sometimes tunakulagaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aaah!

Kumbe ni kwa kiduku?
 
Miye nipo OK. Leo niko off na nimeshamaliza kujipikilisha liugali likuubwa ligumu la Kisukuma. Yaani hapa nakula likes tu kwa raha zangu. Huko kwako kukoje? Wasukuma wanasemaje?
Haha bro... Huo ugali haujaumalizia wote jikon wakat wa kupika? Wasukuma ndio zao kuonja ugali wakati wa kupika

Huku salama kabsa bro, Wasukuma wapo tu, hawana jipya,, tumeshawazoe wakiongea ni kama wanataka kupigana vile[emoji2],,bhasi burudani kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…