Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

15 years ago, Lionel Messi debuted with the first team ... Today he will receive his sixth #GoldenShoe
1571234598706.png
 
Sijambo mpendwa naomba kujua maana ya kisusuli na kumwambafai [emoji848]
Kisulisuli lina trendi sasa hivi baada ya video ya Mch. Rwakatare akiombea mamia kama siyo maelfu ya wanawake wanaotafuta wanaume. Alikuwa anasema kuna upepo wa kisulisuli unasomba wanaume huko waliko na kuwaleta kwa hao mabinti waliokuwa wamejitokeza ili kuombewa.

Kujimwambafai ni kujifanya mwamba. Kujidai. Kuringa. Kukomesha...
Screenshot_20191016-100426~2.jpeg
 
Shukrani kwa maelezo mazuri bro
#bintimpoleaonehapaBae.. Bro Shimba kaelezea vizuri hapo juu, ni msanii wa mziki wa rhumba/lingara kutoka Jamhuri ya Congo alitamba sana mwanzon wa miaka ya 80 na mwishon wa miaka ya 90...

Kama nimekosea, bro Shimba atanirekebsha
Kwa vile na wewe hukuwepo basi huna hata imani na maelezo yako. Andaeitini jiamini !!!
 
Kisuliauli lina trendi sasa hivi baada ya video ya Mch. Rwakatare akiombea mamia kama siyo maelfu ya wanawake wanaotafuta wanaume. Alikuwa anasema kuna upepo wa kisulisuli unasomba wanaume huko waliko na kuwaleta kwa hao mabinti waliokuwa wamejitokeza ili kuombewa.

Kujimwambafai ni kujifanya mwamba. Kujidai. Kuringa. Kukomesha...
View attachment 1235218
Shukrani mpendwa
 
Back
Top Bottom