Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Upepo wa kisulisuli ukiitika lazima kujimwambafai aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Upepo wa kisulisuli ukiitika lazima kujimwambafai aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
#unatakauponeninieti
Nakusalimia mpendwa sijakuelewa umeniandikia kisukuma.Upepo wa kisulisuli ukiitika lazima kujimwambafai aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa nimekuelewa vizuri Ndugu Mwenyekiti ila me natumia browser. App imenishindaKama unatumia app,ukigusa comment utaona comment yote inakuja hivi[emoji116][emoji116][emoji116]...fanya hivyo kwa comment nyingine unayotaka kui quote,itakuja kama hiyo picha ya 2.
Nenda kwenye hiko kimshale cha reply unakuwa umesha quote comment unazozitaka.
(Pole sijui kuelekeza)View attachment 1235183View attachment 1235184
Hahahha kuna gizaNenda chumban wewe[emoji23][emoji23]
Usiogope mdogo wangu nenda 😊Hahahha kuna giza
Mimi sijambo. Vipi wewe? Ulimholá (Hujambo?)Nakusalimia mpendwa sijakuelewa umeniandikia kisukuma.
depal umeshawahi kuvuta bangi ya biryani?
- comment ya davet: bonyeza reply button ya davet
- comment ya capitalpool: bonyeza reply button yake
- ...............................
- hebu jaribu kufanya hivyo mpenzi wa msukuma
Hapa nimekuelewa vizuri Ndugu Mwenyekiti ila me natumia browser. App imenishinda
Majaribio 😂😂😂😛🚶Nakusalimia mpendwa sijakuelewa umeniandikia kisukuma.
Oh Jizazi...Usiogope mdogo wangu nenda [emoji4]
Sijambo mpendwa naomba kujua maana ya kisusuli na kumwambafai 🤔Mimi sijambo. Vipi wewe? Ulimholá (Hujambo?)
Aiseee 😂😂😂depal umeshawahi kuvuta bangi ya biryani?
- comment ya davet: bonyeza reply button ya davet
- comment ya capitalpool: bonyeza reply button yake
- ...............................
- hebu jaribu kufanya hivyo mpenzi wa msukuma
Shukrani kwa maelezo mazuri broYondo Sister. Na sauti yake laini ile...
Nilikuwa nayo hii kanda. Na za Kanda Bongoman, Nyboma, Papa Wemba, Sam Mangwana, Luambo Makiadi, Mbilia Bel, Mariam Makeba, Yvone Chakachaka, Defao, Awilo Longomba, Madilu...na wengineo....
Those good ole days
View attachment 1235194
Bae.. Bro Shimba kaelezea vizuri hapo juu, ni msanii wa mziki wa rhumba/lingara kutoka Jamhuri ya Congo alitamba sana mwanzon wa miaka ya 80 na mwishon wa miaka ya 90...Hivi huyu Yondo sister ni Nani?
[emoji15]Usiogope mdogo wangu nenda [emoji4]
Hapana kwa leo acha awe peke yake eneo la tukioOh Jizazi...
Msindikize ikibidi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂 huko chumbani kwake aku me siendi.Usiogope mdogo wangu nenda 😊
Aaa wapi. Hakuna kitu....