Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahah aisee..Mi naonaga kawaida tu aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Tena kwa hali ya sasa hii...
Bhasi binadamu tupo tofauti sana bro, unajua kinachofanya uumie ni pale utakapoanza kufikilia kuwa duh,, vile vyote tunafanya faragha na huyu jamaa pia anafanyiwa? hata zile kelele anazotoa pia, jamaa pia analiliwa vile vile[emoji2][emoji2][emoji2]