Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi naonaga kawaida tu aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

Tena kwa hali ya sasa hii...
Hahah aisee..

Bhasi binadamu tupo tofauti sana bro, unajua kinachofanya uumie ni pale utakapoanza kufikilia kuwa duh,, vile vyote tunafanya faragha na huyu jamaa pia anafanyiwa? hata zile kelele anazotoa pia, jamaa pia analiliwa vile vile[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ni kujiendekeza tu. Kwani ulimkuta bikra? Wangapi walishapita hapo kabla yako? Na wewe nje huendi?

#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#Kitandahakizaiharamu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Suala la uchuguzi....
Naomba niishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…