moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahah ulishawahi kumsikia bro
Maisha haya bila kujifariji utateseka sana [emoji16][emoji16][emoji16]Endelea kujifariji
Ninge wako kakaa nyuma au yuko mbele?Huku nyuma hawajasikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo palm tree ya Dubai hii?
Nyuma ππNinge wako kakaa nyuma au yuko mbele?
Ndiyo palm tree ya Dubai hii?
Nani huyo hafurahishwi?πππkuna watu hawafurahishwi.
- utani wa sembe sasa basi
- utani wa siasa pia basi
Tatizo ni kwamba hii kauli inagenerolaizi mambo bro.Na Bradha...
Nilikuwa nakatumia sana wakati ule ndiyo kavuta mzigo basi akawa anaumia mpaka ikabidi nikaache aisee.
#KuchapiwaKunauma
[emoji818][emoji818]