Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1571291152079.jpeg
 
Nakubaliana na wewe
Na wengi wetu utulivu huo hatuna,wengi wetu hatuna furaha mwisho wa siku tunaitafuta kwenye vitu.

Habari ya leo rafiki


Nipo hapa napambana na upepo wa kisulisuli unanipeperusha kwelikweli.

Ukitaka utulivu wa kweli ni kuchagua mambo machache ya muhimu ukashughulika nayo, tunajizonga na mambo mengi sana mwisho wa siku hakuna hata moja limeenda kikamilifu.

Lakini pia hakuna mtu ana rasirimali za kutosha kufanya kila kitu, hapa namaanisha muda, pesa, n.k

Furaha ya kweli haipo kwenye vitu. Matajiri wangeongoza kwa furaha na utulivu wa moyo.
 
Back
Top Bottom