Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🙏🙏🙏🙏
 
Kuwa na wafuasi na waumini wa itikadi na mitazamo yako kama kiongozi ni muhimu sana. Viongozi wote waliofanikiwa ni wale ambao walikuwa na wafuasi wa kweli wa itikadi zao. Ukiwa peke yako unapambana peke yako tu hata uwe na nia njema namna gani hutafanikiwa. Nyerere alishindwa kwa sababu ni yeye peke yake aliyekuwa anaamini katika Ujamaa na Azimio lake la Arusha na waliokuwa wanajifanya wafuasi wake walikuwa wanamlia timing tu. Alipong'atuka tu wakabadili kila kitu na upigaji ukaendelea kama kawa.

Rais huyu anapambana sana na rushwa lakini upigaji unaendelea tu tena pengine ndiyo umezidi. Atatumbua wangapi? Rushwa ni tatizo la kimfumo na jamii nzima inahusika na bila kubadili mifumo na taasisi zetu pamoja na mitazamo ya jamii ni kazi bure. Na hii siyo kazi ya siku moja bali ya muda mrefu pengine vizazi kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…