Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mambo niaje?😂😂😂😂
Wahenga wetu humu nao wote walishatwaliwa?Hakuna. Maandaeitini hawawezi kuwa wasimbe [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hakuna wahenga wa kike humu. Tupo sisi wa kiume. Hata sisi hatuzidi watatu humu...Wahenga wetu humu nao wote walishatwaliwa?
Hahah! Poa bro ila akikusikia sister yako humu patakua hapatoshiHakuna wahenga wa kike humu. Tupo sisi wa kiume. Hata sisi hatuzidi watatu humu...
Ester niaje jirani yangu?
Jirani waaapiii bado upo kwenye u bro zoneEster niaje jirani yangu?
😅😅 One day YES!Jirani waaapiii bado upo kwenye u bro zone
Shwari tu za ulipo?