Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtaa wa Ikrumah/ Swahilii Dar, hali ipo hivyo
IMG_20191017_154011.jpeg
 
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23].
Na hasa ukichukulia mzee baba Mende huwa wanakutoa jasho
Mende habari nyingine kamanda. Hasa yale makubwa kabisa manene oooh Jizazi. I hate them. Ndo maana hata kifo cha mende sifagilii kabisa. Yaani nikihusianisha taswira tu basi stimu inakata [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom