Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Andaeitini yule...likely 1999...Usitishwe na mikwara yake...Hahah! Poa bro ila akikusikia sister yako humu patakua hapatoshi
😀😀Andaeitini yule...likely 1999...Usitishwe na mikwara yake...
Mange bana. Kuleta msisimko kwa umma ni suala gumu mno; na ni lazima ujue unachopigania. Kwa vile hili ni suala linalogusa maslahi binafsi ya mtu mmoja mmoja kimatabaka, ni vigumu sana kuwa na harakati jumuishi. Hata umma ulikofanikiwa mara nyingi utakuta ni harakati za muda mrefu watu wamehenya hasa chini kwa chini wakijenga mikakati. Umma (katika ujumla wake) ni lazima ujue kinachopiganiwa. Na kama kikipatikana utafaidikaje nacho. Watu siyo wajinga kama anavyodhani..[emoji2221][emoji2221]
Mchana wa kula....Oh boy.....
View attachment 1236001