myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Midomo ya pipii...
Safiiii..........
Kienyeji Halisi............
Wewe!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
Mende habari nyingine kamanda. Hasa yale makubwa kabisa manene oooh Jizazi. I hate them. Ndo maana hata kifo cha mende sifagilii kabisa. Yaani nikihusianisha taswira tu basi stimu inakata [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23].
Na hasa ukichukulia mzee baba Mende huwa wanakutoa jasho
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mama Rwakatare kaleta msemo safi sana. Sasa hivi hata ukimzukia demu unasingizia tu upepo wa kisulisuli umekusukuma...Kisuli suli siyo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211] View attachment 1236116