Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Nawasalimia wandugu.Natumai siku imeenda vizuri pande hizo.
Kwema Kaka Bradha?Kwahiyo unanishaurije dada coco?
#nakupaSalamu
Jizazi [emoji16][emoji16]Ukiulizwa ooh "nilikuwa naota namla mtu denda", kumbe mwenyewe ndo ulikuwa unaliwa denda[emoji23][emoji23]View attachment 1236298
Mchezo huu naupenda ila hatari sana. Hawa wanaojifanyaga eti ni tough they never quit matokeo yake ndo haya sasa. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwema kabisa bro.Shwari bro, kwema kaka
Halafu anatoka kwenye familia ya kitajiri na ndondi zilikuwa hobby yake. Dah !!!
Kwema kabisa, hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu.Kwema Kaka Bradha?