Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Januari mwaka huu, Neymar aliumia mfupa laini uliopo chini ya mguu upande wa nyuma (metatarsal) na alikaa nje kwa kipindi cha miezi mitatu.

Hiyo ilikuwa ni mara yake ya tano kuumia mfupa huo. Neymar pia aliumia mguu wake wa kulia kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia nchini Russia mwaka 2019.
 
Hakuna namna, apumzike tu.
Dereva hufa kwa ajali na mwindaji hutokea kuliwa na wanyama, hata mvuvi hufa maji au huliwa na samaki
Mchezo huu naupenda ila hatari sana. Hawa wanaojifanyaga eti ni tough they never quit matokeo yake ndo haya sasa. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…