moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Steve Nyerere ajenga hospitali ( zahanati) kwa ajili ya mama na mtoto Kigamboni.
Ubarikiwe sana ndugu Nyerere
Ubarikiwe sana ndugu Nyerere
Blessed [emoji1545][emoji1545]
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hata kama ni pesa za kwenye misiba potelea mbali [emoji16][emoji16]Steve Nyerere ajenga hospitali ( zahanati) kwa ajili ya mama na mtoto Kigamboni.
Ubarikiwe sana ndugu NyerereView attachment 1236369
Kwema kabisa bro.
Pole baridi kamanda[emoji3][emoji3][emoji3]
Nasi tuwapige wavimbe kama hivyo....Walitutawala hawa....[emoji16][emoji16]
View attachment 1236370
Halafu anatoka kwenye familia ya kitajiri na ndondi zilikuwa hobby yake. Dah !!!
View attachment 1236322
Ndiyo kabisa jirani.Nasi tuwapige wavimbe kama hivyo....
Watu wabaya [emoji16][emoji16][emoji16]
Blanketi lipumualo linakuhusu....