Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

So sad ,mie sijafikia hatua hio uwiii naombea ushindi

Hio hatua nilifikia kule madrid na bahati nzuri walitandikwa vya kutosha na makombe wakakosa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tusubiri Numby, tunaingia vitani na kisu kwenye mpambano wa bunduki..

Ila Madrid kwa sasa naona wanakuja vizuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…