Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Leandro Paredes
kiungo wa kati
(Zenit St Petersburg
kwenda PSG)
Ada: Pauni 35 milioni
Staa mwingine aliyenaswa na PSG kwa ajili ya matumizi ya baadaye, ambaye pia ameingia kwenye kikosi hiki cha walio ghali huko Ufaransa. Leandro Paredes alitua Paris mwaka jana na tangu wakati huo amecheza mechi 25. Amekuwa kwenye kiwango bora pia katika timu yake ya taifa, Argentina, lakini ada iliyolipwa inamwingiza kwenye kikosi hiki ghali cha Ligue 1.