Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini, wakati mikikimikiki hiyo ya Ligi Kuu England ikirejea, ambapo Jumapili kutakuwa na kipute cha kukata na shoka huko Old Trafford, wakati Manchester United watakapowakaribisha mahasimu wao wa jadi, Liverpoool, kuna orodha ya wachezaji kibao ambao wanaweza kukosekana kwenye vikosi vyao kwenye mechi hizo za wikiendi kutokana na sababu mbalimbali.
 
The Don himself, Nashukuru sana.!


Shikamoo Bhageshii..habari ya wiki nzima.? Wajionaje na hali...?
Marahabaa TH. Usiwe unapotea hivyo. Au King tayari keshaanza mtindo wa kukunyang'anya nywila? Kama kaanza sema nimkanye kungali asubuhi na mapema.

Tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai [emoji16][emoji16][emoji16]
 
464019157_217308.jpeg
 
Kwa wenzetu huko. Utamaduni mzuri. Ukiboronga kidogo tu unaachia madaraka. Ricky Perry, waziri wa nishati wa Trump kajiuzulu. Kosa lake? Kumshauri vibaya bosi wake kuhusu skendo ya Ukraine inayotishia hata kumwondoa madarakani.

Kwa nini inakuwa hivi? Mimi naamini kuwa, pamoja na ukomavu wao wa demokrasia, wanasiasa wao wengi mara nyingi siyo hohehahe. Hawategemei vyeo vyao ili kuendesha maisha yao. Wengi wao wana pesa zao tayari na wanakubali vyeo hivi kama priviledge tu ili kuimarisha profiles zao, na kukuza majina ya familia; na kujenga destiny. Ni tofauti sana na sisi huku ambako siasa na uongozi ndiyo mtaji wa mtu anaoutegemea kumtajirisha. Akijiuzulu atakwenda kutajirikia wapi?

Mpaka leo huwa namshangaa Nyerere kwa kusisitiza kuwa ili kuwa kiongozi ilikuwa lazima uwe masikini; na wakati huo huo anakutegemea uwe mwadilifu kweli kweli usiibe. Ndiyo maana hakuwa na mfuasi wa kweli hata mmoja katika itikadi zake hizi za ajabu....


View attachment 1236934
Kweli bro.

Pia ni bora mtu aondoke kuliko kubwagwa kwa aibu.Wenzetu wana taratibu zenye nguvu ya kumtoa mtu madarakani ikithibitika kazengua...
 
Back
Top Bottom