Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Uzima umeongezeka baada ya kukuona[emoji6][emoji6]
Za kupotea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mie bado nasubiria etiHivi ile ligi yenu iliishaje?[emoji23][emoji23]
Nasubiri picha hadi leo ujue?
👍👍👍Usiku wa ujiiii
Usiku wa sarakasi
[/QUOTE
Huku na kule.....
Shukrani sana CocoPole sana TH.
Kuchapiwa daah!!So sad
Picha : Jamaa ajinyonga baada ya kumkuta mke live guest uchi wa mnyama akiwa ameshagegedwa majestically !
Huyo jamaa amejinyonga baada ya kumpata mkewake amelala na mwanaume mwingine, Yaani ameingia chumbani akawakuta wamelala uchi wakiwa wamemaliza kufanya mapenzi na wakapatwa na usingiz mzito baada ya show ya kibabe [emoji3] Mume akawachukua video bila wao kujua kinachoendelea kwakuwa walikuwa...www.jamiiforums.com
Tulio kwenye joto hili halituusu eti?Usiku wa kupeana jotojoto...
Sio kujiendekeza shemeji shida ni moyo[emoji124][emoji124][emoji124]#KuchapiwaHakuepukiki
#Kujiendekezatu
[emoji23][emoji23][emoji23]coco mkorofi wewe
Joto hutoa baridi kwa wenye baridi...twende jotoni...Tulio kwenye joto hili halituusu eti?
Mkuu siyo Ford ranger hiyo aiseeeeeeee....Bro usinikeshe ujue! Hiyo Ferrali nimepost ujue!?
Uza Ford Ranger 20 ndo ununue Ferrali moja.