Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii mvua leo noma wallahi. Umeme out...
AmenTunapaswa kujipenda kwa kula vizuri, kulala vizuri na pazuri, kuvaa vizuri na kujijali muda wote kwa kuuweka mwili salama mfano kwa kupiga mswaki baada ya kula, kuosha nywele mara kwa mara, kukata na kusafisha kucha, kuoga, na kuvaa nguo safi. Pia tujiepushe na hatari, ugomvi na makwazo kwa faida ya mioyo yetu.
Mpendwa hii avatar yako Ukifika safari unayokwenda nistue.Kitu gani kikubwa umewahi mzawadia umpendaye?
Mambo zenu wanaJF mabibi na mabwana. Moja ya maajabu saba ya dunia ni bustani inayoelea angani. Wanahistoria wanasema kuwa bustani hiyo ilijengwa na wajina Nebuchadnezzar ili kumfurahisha mpenzi wake. Mimi binafsi nnmewahi kumfanyia mengi sana aliyekuwaga mpenzi wangu kikubwa ambacho huwa...www.jamiiforums.com
nilimzawadia picha ya pauloo makonda
Wanapendeza watoto..
[emoji3][emoji3]Sawa nitamsalimia ila nimekuona jana kama sio juzi unamtengenezea mazingira yule jamaa mkorofi
sidhani kama atafika safari yake labda aongeze mwendo kama yule mwanariadha wa kenyaMpendwa hii avatar yako Ukifika safari unayokwenda nistue.
Just a show offMessi is very humble