Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20191019-WA0005.jpeg
 
*KISULISULI*

K=Kanisa
I=Inaweza
S=Saidia
U=Upate
LI=Limwanaume
S=Saizi
U=Utakayo
LI=Likuoe

*Kwa kisukuma*

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo linakuja kwenye mahari na makorokoro ya sherehe sijui sendoff,kitchen party, harusi
 
Usile yai:-
lililopata ufa
lililotoboka
lenye harufu kali ama kidogo
lisilo na harufu kabisa ya yai
lililojepesi yaani halizami kwenye maji mfano kwenye bakuli
Njia nzuri ya kupata yai salama ni kwa kufuga kuku mwenyewe na kama hutaweza kwa sababu mbalimbali basi nunua mayai kwa mtu anayefuga mwenyewe ili kuwa na uhakika wa usalama wa afya yako.
 
Back
Top Bottom