Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mayai pia huweza kuwa na vijidudu (bacteria) waitwao Salmonella enteritidis (SE) ambavyo vinatokana na ndege mwenyewe mfano kuku.
DuhPata yai moja hadi mawili kwa siku. Yai halina shombo sana kwa hiyo ni rahisi kulinywa haraka likiwa bichi.
Nyie msiolima hamuwezi kujua umuhimu wa mvua labda mpaka mkienda sokoni halafu mkute hakuna kitu.Duh kumbe mvua ni baraka?maana sie tusiolima tunaona inatusumbua tu
Jua robo, mawingu robo tatu nahisi baadae unaweza kuhusika tena. Vipi huko kwenu ndizi tayari hapo nje?Shwari, leo jua la kutosha au bado kuna mvua huko?
Likiwa bichi? Ili iweje?Pata yai moja hadi mawili kwa siku. Yai halina shombo sana kwa hiyo ni rahisi kulinywa haraka likiwa bichi.
Mie mwenyewe siwezi kula bichi uwiii cant imagineLikiwa bichi? Ili iweje?
Mtelezo tu utafikiri uji [emoji2221][emoji2221]
Beauty with mind. Sio?
Nahisi tupo mtaa mmoja maana maelezo hayo ndo sawa na hapa nilipo. Tayari zipo sokoni zamaaaniiiJua robo, mawingu robo tatu nahisi baadae unaweza kuhusika tena. Vipi huko kwenu ndizi tayari hapo nje?
Mvua ikinyesha sokon vitu vinapanda balaa hupati nyanya za jero kitu kinaanzia buku kwenda juuNyie msiolima hamuwezi kujua umuhimu wa mvua labda mpaka mkienda sokoni halafu mkute hakuna kitu.
EPL leo imekaaje? Mtanange wenu na wazee wa kuminya makende ni leo au kesho?
Pole sana bro. I remember that fateful day like it was yesterday. Be strong bro [emoji123][emoji123]
Aisee! Inawezekana tukawa jirani kweliNahisi tupo mtaa mmoja maana maelezo hayo ndo sawa na hapa nilipo. Tayari zipo sokoni zamaaaniii