Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shwari, leo jua la kutosha au bado kuna mvua huko?Mambo vipi lakini?
Tangu jana jioni mpaka sasa kunakucha hapa nilipo inanyesha balaa. Mpaka umeme ulikatika usiku. Jumamosi yenye mibaraka ajabu....Shwari, leo jua la kutosha au bado kuna mvua huko?
Duh kumbe mvua ni baraka?maana sie tusiolima tunaona inatusumbua tuTangu jana jioni mpaka sasa kunakucha hapa nilipo inanyesha balaa. Mpaka umeme ulikatika usiku. Jumamosi yenye mibaraka ajabu....