Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwenye mechi nane walizocheza Ligi Kuu England msimu huu, Man City wamepoteza mara mbili, wameachwa pointi nane dhidi ya timu inayoshika usukani wa ligi hiyo kwa sasa, Liverpool.
Hullo, hawayuu?Hellow bradha.
Nipo poa kabisa kama vipigo vya cityHullo, hawayuu?
Huku kumekucha salama dada yangu.
#LeoNiLeoHahahahahaha