Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaa hamna banaina maana hata wewe hujashitukizia janja yao?
hao watu ni ndugu wawili wa damu kama dotto na kurwa.
Hahahahahani nani aliyepeleka wazo la kutangaza mechi za laliga kwa kiswahili pale AZAM?
anapiga shuti messi, haya anapiga sasa, anapiga huyo,
aaaaaaaah kumbe goal kick
πππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah afu wanasema eti wakatalunya hatuna kiwango daaah
Sikumpeleka na nimemwambia kama anataka pambano niko tayari kwa mara nyingine.afadhali na hongera kwa ushujaaa.
ulimpeleka hospitali huyo fala aliyekubali kutoa point tatu kwako?
naomba uwachunguze kuanzia leo.Hahahaa hamna bana
Kafunga goli zuri,ila pale vyumbani alikua mnyongeAlikusikia nini?
Usiwe na wasisi kwangu mimi ndio nina wasi wasi kwako juu ya yule KipangaNzuuri, wasi wasi kwako..!
Poa
wanakera baadhi ya nyakatiHahahaha D
Hahahahaha
ππππ. Dah!unataka kuniingiza kwenye mtego?
no comment.
Akiendelea kufunga funga unyonge utamuishaKafunga goli zuri,ila pale vyumbani alikua mnyonge
tafuta helmet kabisa kabla ya mechi kupangwa rasmi.Sikumpeleka na nimemwambia kama anataka pambano niko tayari kwa mara nyingine.