Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
hahahahahahahahUsiwe na wasisi kwangu mimi ndio nina wasi wasi kwako juu ya yule Kipanga
hahahahahahahahUsiwe na wasisi kwangu mimi ndio nina wasi wasi kwako juu ya yule Kipanga
Eti ni nini? 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
King wenu kala mtama mtamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ni nini? 😀
Aah mpendaji wa hivyo hawezi kuwa mpendaji tena...😄inategemea na huyo mpendaji.
unaweza kukutana na mpendaji ana maudhi kuliko choo cha shimo nyakati za mvua.
Huyu Mimi kabisa😎
Nimegundua kitu una kipaji kizuri cha kuongea mpendwa, comments zako huwa zinafurahisha una Kiswahili cha watu wa pwani.inategemea na huyo mpendaji.
unaweza kukutana na mpendaji ana maudhi kuliko choo cha shimo nyakati za mvua.
JamaniKupendwa raha🤩
Safi, hali yako?
Aione King hii....Huyu Mimi kabisa[emoji41]
namshukuru Mungu japokuwa sina mbwa mfukoni lakini bando ninalo la kutumia mwezi mzima.
kwangu mimi bando ni muhimu kuliko pesa japokuwa linanunuliwa kwa hiyo pesa.